Linda Nyumba au Biashara Yako kwa Urahisi
Smart Solar Security Camera 4G ni kamera ya kisasa inayotumia Solar Power na mtandao wa 4G, hivyo haihitaji WiFi kufanya kazi. Unaweza kuona kila kinachoendelea kupitia simu yako wakati wowote na mahali popote.
Sifa Kuu
✅ Inatumia Solar Power
✅ Inafanya kazi na 4G SIM Card
✅ Night Vision (Inaona vizuri usiku)
✅ Motion Detection (Inatuma taarifa ikigundua mwendo)
✅ Live View kupitia App ya simu
✅ Two-Way Audio (Unaweza kuzungumza kupitia kamera)
✅ Water Resistant kwa matumizi ya nje
Inafaa Kwa
- Nyumbani
- Madukani
- Mashambani
- Ofisini
- Ghalani
- Maeneo ya biashara
Kifurushi Kinajumuisha
- Smart Solar Camera
- Solar Panel
- Mounting Bracket
- Screws
- User Manual

Reviews
There are no reviews yet.